Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wizara ya Maji

Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria

Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria imeshiriki kilele cha Siku ya Ziwa Victoria

Imewekwa: 03 June, 2026
Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria imeshiriki kilele cha Siku ya Ziwa Victoria
Sehemu ya watumishi Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria LVBWB wakiwa kwenye maonesho katika viwanja vya Nanenane Nyamhongolo wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Ziwa Victoria 2026.

Maadhimisho hayo yamefunguliwa leo na Mhe. Said Mtanda ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Mwanza ikihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Wizara,Mkoa,Wilaya na Taasisi mbalimbali za Umma na binafsi.

Huku Taasisi mbalimbali zikiwa ni sehemu ya maonesho ya shughuli zao mbalimbali

ZIWA LETU I UCHUMI WETU I TULITUNZE